Sajili Blog


KARIBU KATIKA "Tanzanian Blogs"

Ni kituo ambacho kitarusha updates zako masaa "24" siku zote, hivyo Ili kujisajiri na Tanzanian Blogs... yakupasa kufata vigezo na masharti yafuatayo:-
  • Blog yako iwe hewani masaa 24.
  • Blog yako isiwe yenye kurusha habari za Matusi, Uchochezi wa aina yoyote ile, au Picha za Ngono.
  • Isipite zaidi ya Mwezi Blog yako haijapost, "tutaiondoa katika list"
  • Copy link adress ya Tanzanian Blogs <<<http://tanzanianblogs.blogspot.com/>>> na uiadd katika Blog List yako kabla ya kutuma maombi; ili kurahisisha zoezi la wasomaji kutembelea blog yako.
  • Tuma Jina la Blog yako na Domain Adress ya Blog yako katika e-mail yetu: tanzanianblog@gmail.com
  • Kama una TANGAZO wasiliana nasi kuptia e-mail yetu hapo Juu.
KARIBU KATIKA TANZANIAN BLOGS

==================================================